Friday, August 29, 2008

ANT VIRUS IP NI NZURI KUTUMIA FREE

NAOMBA MSAADA JAMANI
Mzee RAJABU

1 comment:

Anonymous said...

Kwa kadri navyofahamu McAfee hawatoi Antivirus ya dezo. Antivirus ambayo naisikia ni nzuri na ya dezo ni AVG. Unaweza kuipata kwa kuingia kwenye tovuti ya www.download.com na ku'search' AVG antivirus. Unaweza vilevile ku'search' free antivirus kwenye hiyo tovuti halafu ukasoma reviews za watumiaji wengine maana zipo nyingi.