Thursday, August 28, 2008

TECHNOLOGY

Nina tatizo hili, nimenunua computer,aina ya acer, najaribu kuinstall fedora core 6 inagoma, nani alishapata tatizo kama hili anisaidie
Nikiinstall inafail kudetec files from the cd rom ingawa cd rom inasoma kwenye machine vizuri.
Mwenye idea anipe JIBU
mimi Ally nipo DODOMA UNIVERSITY
TUNASHUKURU MWENYE HII BLOG KUTUPATIA HII SITE AJILI YA KUSAIDIANA.

No comments: