Monday, September 1, 2008

ABEL ANAOMBA MSAADA WADAU, TUSAIDIANE SI KUONDANA

FROM MBEYA
Internet connection kupitia mobile phone,tatizo ninapo unganisha PC na mobile kupitia data cable(USB), kwenye PC inaonyesha Connected to internet katika kuendelea nikitype web address ina display page can not be opened, niki'click tools then internet connections test inaonyesha iko sawa, nimejaribu ushauri woote unaoelekezwa kwenye page can not be opened lakini wapi,Wape wadau inakuwaje ili niendelee kuwa kwenye 'njiapanda ya habari na mawasiliano' (internet) Mdau Abel, niko Mbeya,Endelea kutuunganisha,kazi njema

2 comments:

Anonymous said...

plz are u using Broadband or mobile. Also configure ur browse according to the asked questions when it detect your web browser.

Anonymous said...

Labda jaribu kuwapigia simu kama ni voda,tigo au zain.Je ni Broadband au simu za mkononi.
Check pia web browser yako kama ipo offline au online kwenye FILE - WORK ONLINE or WORK OFFLINE