Wednesday, September 10, 2008

MSAADA

Nataka kuset scanner iwe kwenye LAN, nimejaribu nimeshindwa. Nani ana idea anisaidie
Mimi Lulu shamse
Zanzibar

1 comment:

madaraka LCRC said...

Sijawahi lakini naweza kusema kuwa baada ya kuset network yako kuwa katika workgroup kisha jaribu kuright click scanner, kwani hakuna option ya sharing hapo.

John(ict4rd technician- Serengeti)