Monday, September 8, 2008

STARS 4 - VIBONDE MAU 1


Je kwanini tulichelewa kuwafunga??
WENZETU KENYA WAFANYA KWELI MBELE YA NAMIBIA.
TUSUBIRI SUDAN au ni mashaka kama ya ENGLAND??

Huyu ni kijana anayetegemewa kwa sasa TANZANIA baada ya kufunga 2 mbele ya mtebwedo MAU.

No comments: