Wednesday, October 8, 2008

SIMBA OVYOOOOOOOOOO


Jaman soka letu mpaka kife kizazi cha akina usimba na uyanga ndo unatusumbua sana hapa Tz mpaka Taifa star utadhani SIASA ZA BONGO.Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Hassan Dalali, akitoa tamko la kuachia uongozi akiwa nyumbani kwake ambako alifuatwa na kuzongwa na mashabiki na kulazimika kujiuzulu na kutoa tahadhari kuwa watamkumbuka.

No comments: